Sunday, July 8, 2012

WAZIRI MKUU NDANI YA SONGEA

Hapa ndo kipindi Waziri mkuu wa Tanzania alipo kuwa anaingia ndni ya Songea,ila hii safari yake bado sijaiona umuhimu wake,kwa sababu sijaona la msingi amablo limeongelewa katika safari yake.

No comments:

Post a Comment