Sunday, July 8, 2012

HII NI HALI HALI YA MAGHUBA YA TAKATAKA SONGEA

This blogspot aim to provide the news to the society at the time,

Ni siku takribani kumi tangu wanachuo wa chuo kikuu cha mtakatifu Agustino campas ya Ruvuma Kufanya kazi kubwa ya kijamii ya kusafisha maeneo mbalimbali ya mji wa songea.Tarehe 8,07,2012 wanachuo wa chuo hicho walifanya kazi hiyo ya kusafisha maeneo ya uwanja wa majimaji na maeneo ya manzese.
Leo ikiwa imepita siku kumi tu wananchi na uongozi  wa manispaa ya songea hawajaonyesha moyo wa kuunga mkono jitihada hizo nzuri za mfano.Mwandishi wa habari hizi alifanya uchunguzi katika baadhi ya maeneo ya mji huu na kukuta baadhi ya maeneo likiwemo eneo la Bombambili,Majengo na Mahenge n likiwa katika hali isiyoridhisha richa ya kuwa karibu na makazi ya watu na hivyo kuleta hofu ya kuzuka kwa magonjwa ya mlipuko.

HILI NI GHUBA LA ENEO LA MAJENGO


HILI NI GHUBA LA ENEO LA MELIKEBU LILILOPO BOMBA MBILI
HILI NI GHUBA LA ENEO LA MAHENGE

SWALI DOGO.je eneo hili halina viongozi?na kama wapo hali hii hawaioni?kama hawaioni je wananchi hawajawaambia?kama hawajawaambia wanangoja nini?TAFAKARI CHUKUA HATUA

No comments:

Post a Comment