Hili ndo gari ambalo lilikuwepo toka enzi za Wajerumani,na mapaka sasa lipo,ninatoka toka Manispaa ya Songea mjini na kwenda mapaka Namtumbo,na hapa lipo ndani ya stendi ya Manispaa ya Songea tayari kwa kusaka abairia wa kwenda Namtumbo.Na kwa taarifa yako watu wengi wanapenda sana kusafiri nalo kwa sababu linatembea kwa mwendo mdogo mdogo sana.
No comments:
Post a Comment