Tumejitahidi sana kuweka haya mabango ya kupinga kueneza ugonjwa wa ukimwi lakini naona haya mabango haya saidii kitu hata kidogo,yani sehemu ambapo lipo bango ndipo watu wanapokutania hapo hapo sasa tutakuwa tunajenga au tuna bomoa hapo,hili swali ambalo linaniumiza kichwa sana.Labla tutafute njia nyingine ya kupunguza kuenea kwa gonjwa hili.
No comments:
Post a Comment