Sunday, July 8, 2012

GARI LA KALE HILI

Hili gari lilikuwa ndi kama basi hizi hizo za wakoloni,ila kwa sasa nchi imeinuka kidogo tuna safiri na ,mabasi ya maana,swali kwako mtanzani kipindi tunatembelea magari kama haya ajali zilikuwa ni chache ila sasa hivi zinatokea ajali nyingi sana,Sasa je tumeendeleea au bada?

No comments:

Post a Comment