WACHEZA MGANDA WAKIWA WANAMKARIBISHA WAZIRI MKUU PINDA
Wachezaji wa mganda wakiwa wanamkaribisha waziri mkuu ndani ya Songea,mchezo huu wa mganda ni maarufu sana huku kwetu mkoa wa Ruvuma ususani ndani ya wilya ya Mbinga.Mchezo huu hata hautumii ngumi wala uwezi kuvuja jasho.
No comments:
Post a Comment