Saturday, July 7, 2012

BAADHI YA PICHA ZA HARAKATI HUKO MBEYA

 Kamanda Mwakilembe ni huyo wa kati akiwa na baadhi ya makanda wa Mbeya huko



 Mwanaharakati machachali  akitoa point ndani ya Mbeya Mwakilembe
 Shwangwe za wananchi ndai ya ujio wa Chadema huko Mbeya
 Madereva wa pikipiki wakiwa katika kupokea ujio wa wanaharakati huko Mbeya
 Ofisi ya chama tawi la Kasanga huko Mbeya

Kamanda Mwakilembe akiwa ndani ya Gwanda katika harati ya kutete Taifa ndani ya Mbeya

 Jinsi walivyo pokelewa huko ndani ya Mbeya

Hayo ni makamuzi ndani ya Mbeya yani ilikuwa funika bovu mpaka kielweke.
 Huyu ni mwanaharaka Mwakilembe akitema cheche ndani ya mbeya katika vua gamba vaa gwanda,hapo akiwa anasema hatorudi nyuma katika harkati
Hiki pia ni kikundi cha ngoma kilicho tumbuiza huko Mbeya,vua gamba uvae gwanda.

No comments:

Post a Comment