Sunday, July 8, 2012

MCHEKESHAJI WA SONGEA CHAKU

Huyu ndo Chaku ni mchekeshaji wa hapa Songea,hapa alikuwa ndo anatoka kuchekesha siku amabyo mkuu wa mkoa alikuja hapa Songea ilikuwa kama tarehe 7-07-2012 ndani ya uwanja wa Zimamoto upo karibu sana na Uwanja wa Majimaji hapa Songea,kama wewe unapenda kucheka basi ukikuna na Chaku utacheka mapaka utavunjika mbavu.

No comments:

Post a Comment