Saturday, July 7, 2012

WANANCHI KULIA NA MADAKTARI

Madaktari tunaomba mutuonee huruma,ndio munadai madai ya msingi lakini kumbukeni tunaumia sisi raia yani vingozi wa Serikali wakiumwa wanaenda kutibiawa India je sisi tutatibiwa wapi jamani?naomba murudi kazini hili mutusaidie maisha yetu.

No comments:

Post a Comment